Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Changamoto tu za maisha
Wanasaidia kumjenga mtu kiakili
............

Changamoto tu za maisha
Wanasaidia kumjenga mtu kiakili
............

Woyooo, kila la heri majirani zanguJimena pacha wako yupo, ila naona haka kakiumbe kapya tulikokaingiza tumbon mwake kanamtia kauvivu
Ndiyo tunalisongesha hapaWewe tena ushaanza kulafi lafi maneno..
Chalinze ipiBaada wakuu niko shambani, karibuni fursa za mashamba na viwanja chalinze
Umeanza sasaKwani kuna urafiki wa uongo?
![]()
![]()
![]()
..........
Hongera sana ShemlaPacha wako yupo.. Ila nahisi kichanga tumbon kinamsumbua kawa mvivu kweli, japo hajaniambia ila nahis dalili za kitumbo kujaa!! Baadae ntakuletea
Umeamkaje Shululu Jirani yangu....Woyooo, kila la heri majirani zangu
Pacha wako yupo.. Ila nahisi kichanga tumbon kinamsumbua kawa mvivu kweli, japo hajaniambia ila nahis dalili za kitumbo kujaa!! Baadae ntakuletea



Umeongea point tupuUrafiki w uongo upo, mtu anajifanya rafiki ukiwa nazo au wakati wa furaha lkn wakati wa taabu yako anasepa
Huku makazi mapya wanaita makazi ya masoja, hapa barabara mpya ya lami kuelekea maginduChalinze ipi
Umeamkaje Shululu Jirani yangu....

Nipo hapa Pacha wangu..uko salama lakini?Shemla..... Wapi pacha??
Morning Quigley...Poa sana mkuu mambo vip?
Vipi kuna nini kimempata Mussolin 5?Bitoz, mambo vp, hebu fanya oganizesheni kuhusu huyu ndg hata tumshike mkono kiaina. Najua waweza sema neno jema...najua wanielewa


Mbona hufiki?Umeongea point tupu