Makapuku Forum

Makapuku Forum

1976 - Francesco Totti anazaliwa.

Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.

Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.

Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.

Pia hujulikana kama, " El Capitani De La Roma. "
Auguri Francesco Totti
 
1961 - Sierra Leone yajiunga Umoja wa Mataifa.
IMG_20160927_083744.jpeg
Screenshot_2016-09-27-08-36-23.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom