Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu ni utamaduni wetu kuwa kama kuna segment inaendelea basi stori zinazopigwa ziwe ni zile zinazohusu segment husika, ikiisha tunaendelea na stori zetu kama kawaida
Kwanza hatuna kitu kinachotumia muda mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa mtaendeleza utamaduni huo ili kufanya KF izidi kuwa homa ya dengue
 
1976 - Francesco Totti anazaliwa.

Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.

Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.

Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.

Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "
Alikuwa na mpango wa kuendelea kucheza kama timu yake ingefanikiwa kucheza ligi ya mabingwa ulaya
 
1950 - Hiroyuki Tagawa anazaliwa.

Ni actor wa filamu kutoka nchini Japan.

Huwa anapenda kucheza nafasi ya Adui katika movie, na mara nyingi huwa ana roho mbaya.
6a0d6ea03a9ac3777414877089fc2a6a.jpg
e75b9fe6744716cae7a4fbe414addd3a.jpg
 
Wakuu ni utamaduni wetu kuwa kama kuna segment inaendelea basi stori zinazopigwa ziwe ni zile zinazohusu segment husika, ikiisha tunaendelea na stori zetu kama kawaida
Kwanza hatuna kitu kinachotumia muda mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa mtaendeleza utamaduni huo ili kufanya KF izidi kuwa homa ya dengue
Itifaki izingatiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom