Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nami ndo naona ajabuKwa hyo hili ndio limekuwa togwa la mkoleni!!?
![]()
![]()
![]()
Nami ndo naona ajabuKwa hyo hili ndio limekuwa togwa la mkoleni!!?
![]()
![]()
![]()
Mie nilivyoona the book nikajua dictionary kumbe ni gazeti la udaku umebambikiza jina la the book..hayo ya kiingereza naomba utafsiri
Ni kweliItakuwa kashazeeka maana ni siku mingi sana.
Mie ndezi namba mbili baada ya ndezi wewe.. Unaekojoa hapo..
Naona umeligundua hiloHuyu mzee anazeeka vibaya hahahahaha
Leo yatupasa kwenda kutalii.. Nilikuwa siijui hii siku.. Next year ntajipanga nikatalii siku kama ya leo roho ikiwa hai inshaallah..Leo Katika Historia Orijino:
Ni siku ya Kimataifa ya Utalii.
AwfulMuda wa segment kila mtu story zake zihusu segment siyo blahblah....siyo lazima kila mtu kapost wakati hana cha kuchangia
Segment zenyewe zipo chache lakini kuna wazushi hawaoni umuhimu wake hadi Siku mtu aache kuzileta halafu wataanza kelele fulani mbona huleti kile kipindi?
UNAFIKI
...............
Huwa anaekti roho mbaya.. Kama namuona kwenye movie zake vile mortal kombat inamuhusu1950 - Hiroyuki Tagawa anazaliwa.
Ni actor wa filamu kutoka nchini Japan.
Huwa anapenda kucheza nafasi ya Adui katika movie, na mara nyingi huwa ana roho mbaya.
Mfalme wa roma.. Jamaa anaheshima sana jiji lile.. Kama unahitaji kufa usihangaike kunywa sumu.. Nenda roma ktk stadio olympico kamtusi totti.. Ukipona hufi leo wala kesho..1976 - Francesco Totti anazaliwa.
Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.
Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.
Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.
Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "

Kuna kipindi cha kati jamaa ndio alikuwa beat rapper kwangu, kwa mistar na swagg..1982 - Leo ni siku ya Kuzaliwa ya Lil Wayne.
Ni rapa wa muziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
"We got money"sana mkuu
Fundi hilo.. Nimeanza kumuelewa huyu mtuu..1992 - Granit Xhaka anazaliwa.
Ni mchezaji wa Arsenal anayecheza nafasi ya kiungo.
Rooney kabisaSio kama fellain
Kumbe mashabiki wa movie tupo wengi
Pia ndoa ingemuhusu.. Kama ni ke, saa hizi kwa mumewe anafua fua shuka za jana night, na kuumiza kichwa mume ale nini ili awe anapokea vipigo kama cha jana yake non stopAngekuwa ni mtu kwahiyo miaka 18 angekuwa anaruhusiwa kupiga kura.
Mje Mabibo Beach mjionee vivutioLeo yatupasa kwenda kutalii.. Nilikuwa siijui hii siku.. Next year ntajipanga nikatalii siku kama ya leo roho ikiwa hai inshaallah..
Ila serikali inapaswa kuitazama siku kama hii kuboresha utalii nchin.. Leo ilibid kuwe na ofa za kutosha..
Nenda page ya kwanza kasome post mbili tatu kisha utaelewaHodi Waungwana, Kila nikiingia JamiiForum naona "Makapuku Forum" Sijajua hii inahusu nini...? Msaada Wapendwa, nimeona leo niingia mnijuze.....
Thanks in Advance.
Sijawahi kuona jambazi kuu kama kizibo kama huyuKumbe mashabiki wa movie tupo wengi
Huyo Tagawa mikwara mingi
![]()
![]()
![]()
.......
