Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

September 13 ni moja kati ya Siku mbaya katika mwaka.

Hasa tarehe 13 idondokee Ijumaa wazungu wanaamini hiyo ni siku mbaya sana katika maisha.

Na wameenda mbali zaidi wakiamini namba 13 ni namba ya mikosi baadhi ya Nchi kama Urusi katika kalenda yao hawana tarehe 13.

Hata kwenye mpira jezi namba 13 huvaliwa zaidi na magolikipa kuliko wachezaji wa ndani.

Ballack alipenda kuvaa namba 13 kila mfatiliaji wa soka anajua kilichomkuta katija career yake.
Warusi ndio wametisher hawana namba 13 kwenye kalenda??!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom