sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Pole sana mwayego.. Tusubirie tu nyingineSafi kabisa,niliipania sana acha tu niikose

Huwa inasadikika hivyoHistoria mujarab kabisa ,sasa huyo babake wa ubatizo aliyezikwa tz alikuwa ni mtz ama??
UshamberHivi kwanini wabongo wanapenda sana kutumia majina ya mastaa wa nje?
Kwani ulikuwa hujui ana-ana-ana-do???Kuna ile ya Choose the most correct answer....yan yote yako sawa ila kuna jibu ambalo ni sahihi kuliko yote!...hayo yalikuwa yananiboa sana![]()
Super mario mr. Moustache1985 - Kampuni ya michezo ya televisheni ya Super Mario Bros ya Nchini Japan yazindua rasmi michezo ya Super Mario.
Ya amani.Alishinda segment gani kwenye huyo nobel?
Weka nimekuruhusu
Yanga napo kuna Cannavaro etiKitambo sana Canavaro
Masista huwez kuwapata mkuuHivi bado wapo eeh? nadhani wapo kuanzia miaka 13 kurudi chini na ukigusa unanasa....jera 30 years
Bamia zinahusika kwa kumbukumbuUkiweza kujicontrol......kujisahau hakuwez kukupa shida
Ndiyo maana yakeMtakatifu kazola..
Hivi kumbe ni hivyo? Hata mi nimekua nikiliona siku zote kama omarHiyo Amar, wabongo walikuwa wanamuita Omari



Mh huyu nae nan??
Ndio mkuu......inampasa asubiriKuna watu wanamsubiri yesu mpaka leo, yeye naye asubiri tu
Ilete jirani mwaya....Nukuu ya leo itawajia hivi punde
110k ndiyo nzuriPole sana mwayego.. Tusubirie tu nyingine![]()
Na walikuwa manabii haswa...haswa Daudi aliingia mkenge kiulainiiiHahaha, hata kina daudi na sulemani yaliwashinda, wewe utayaweza??