briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nakuona katika ubora wako arifu.. Niaje lakin?Rest in peace king pac...
Makaveli the don
Nakuona katika ubora wako arifu.. Niaje lakin?Rest in peace king pac...
Makaveli the don
Jukwaa la Dini linakuhusu sacajo mweeee au huku ulipotea![]()
kule siwezi kwenda mkuu......wanaweza wakaniondoa kwenye misingi ya imani bureeHii gemu nailaani ilinipotezea sana muda wangu kipindi niko form 1



Bitoz asijue, maana kawa tishio sanaNtaivizia kimya kimya hiyo
pamojaAsante sana dikteta
Hahaha, amna wapo hata above 30, sema sura zao na za babu zao huwezi kuzitofautisha




weka picha mkuuHahahaha, yaani...alikuwa anadeal na wake za watu tuNa walikuwa manabii haswa...haswa Daudi aliingia mkenge kiulainiii
Alituachia majanga tu Duniani1967 - Mohamed Bin Awad Bin Laden anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara toka nchini Saudi Arabia.
Aliacha watoto 56 mmoja wao akiwa ni Osama Bin Laden.
Watu waliosikia sera zakoNtapata kwa nani.
Hata hotel zao hazina chumba namba 13Warusi ndio wametisher hawana namba 13 kwenye kalenda??!![]()
Miss u more!Dictator missing you jamani
Aacha kufukuza kondoo weweJukwaa la Dini linakuhusu sacajo mweeee au huku ulipotea![]()
Haya sasa masiharaYanga napo kuna Cannavaro eti
Ni kweli hesabu hazidanganyi lakin sayansi inapoanza kuingiliana na imani hapo ndo ukakasi unaanzagaNi hesabu tu ndiyo zinawaongoza na number huwa hazidanganyi
Nitathibitisha baadaeHebu jaribu
Pamoja bablai.Shukran dictator mussolini..
We missed you too dear...karibu
yap hilo ndio kosa.Dah! Sasa kibaya ni wanapotaka kutuaminisha hivyo na sisi
Yes. Ukila kwa wingi kumbu kumbu lazima zikae sawaBamia zinahusika kwa kumbukumbu