Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Muone mzee Magari atakupaSidhani kama kuna asiyeyapenda, sema kuyapata ndo ishu
Muone mzee Magari atakupaSidhani kama kuna asiyeyapenda, sema kuyapata ndo ishu
Dah hii nayo kali sijawah kuijua.. Jimena unaonaje ukifurahia hii siku pamoja namiLeo ni siku ya kimataifa ya Chocolate.
Hiyo Amar, wabongo walikuwa wanamuita Omari1996 - Tupac Amar Shakur anafariki Dunia.
Alikuwa ni rapa wa muziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya rapa mwenye ushawishi na bora wa wakati wote.
Ni miongoni mwa watu wachache ambao wameendelea kuwa maarufu hata baada ya miaka mingi kupita baada ya vifo vyao kando ya Mwanamapinduzi Ernesto Che Guevara na mwanamuziki wa regge Bob Marley.
Tupac aka Makaveli alifariki baada ya kupigwa risasi kadhaa wiki moja baadae ndio anafariki baada ya kiasi kikubwa sana cha damu kuvuja ndani ya mwili.
Pamoja na yote hayo kuna wanaoamini Tupac hajafa, Alifeki kifo chake ili apunguze kufatiliwa.
Kwa wale wanaoamini kuwa Tupac amefariki wanaamini Big ndio aliyemuua baada ya kutoelewana kisa Tupac alitembea na mwanamke wa Big Notorius aliyitwa Faith Evans.
Pia kuna wanaoamini Tupac aliuwawa na bosi wake na mmiliki wa Death row Inc. ambaye ni Suge Knight.
Baba wa ubatizo wa Tupac alifariki na kuzikwa Tanzania, alijulikana kama Geronimo Pratt.
Leo ni miaka 20 toka 2pac afe bado anabaki kama rapa bora wa wakati wote.
Pumzika amani 2pac.
Na wewe ndio mtoa Likes balaaDah, walikukose nini kamanda?
Asante sana diktetaLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa 2pac makaveli, tuonane tena kesho.
Bye!!
Aliondoka tukiwa bado tunamuhitaji
Kitambo sana!!
Wanaamini katika MasonicWazungu wanazingua hapo.. Mbona watu wengi tu waliozaliwa hiyo tarehe wako vizuri sana?
Hivi bado wapo eeh? nadhani wapo kuanzia miaka 13 kurudi chini na ukigusa unanasa....jera 30 yearsHahahah, ili upate maBK....we noma una tageti kali zaidi ya ronado
Mtakatifu kazola..Mpaka hapo Sina la ziada kwa hisani kubwa ya saint Cazora nawatakieni jioni njema
Kuna watu wanamsubiri yesu mpaka leo, yeye naye asubiri tuUtapata we subiri
Yeah.. Nilikuwa nalea kakaake.. Uncle yako Bristol..



kumbe ulimuita bristol kama nilivyopendekeza? .. Safi sana dadake nasubiria sasa kualikwa rasmi kuja kumuona huyo ankoNdiyo hivyoWatoto 56
Kweli mkuu!!No 13 ni shida sana, pia huwa wanalinganisha 13 ngapi zinaangukia jumatatu zikizidi kwa wastani kwa mwaka, huo mwaka huwa ni wa hatari sana
Hhahahah, unahitaji maombeziNimeshasahau sasa daaah
Hahahah,,, Guud GirlNilikuwa nayapata sana lakin nimeshamchagua Mzee magar
Ni Mzuri lakini

Mpania kiu maji hayanywi, kumbe ni kweliSafi kabisa,niliipania sana acha tu niikose