sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
1985 - Kampuni ya michezo ya televisheni ya Super Mario Bros ya Nchini Japan yazindua rasmi michezo ya Super Mario.
Wazungu wanazingua hapo.. Mbona watu wengi tu waliozaliwa hiyo tarehe wako vizuri sana?Leo katika Historia:
September 13 ni moja kati ya Siku mbaya katika mwaka.
Hasa tarehe 13 idondokee Ijumaa wazungu wanaamini hiyo ni siku mbaya sana katika maisha.
Na wameenda mbali zaidi wakiamini namba 13 ni namba ya mikosi baadhi ya Nchi kama Urusi katika kalenda yao hawana tarehe 13.
Hata kwenye mpira jezi namba 13 huvaliwa zaidi na magolikipa kuliko wachezaji wa ndani.
Ballack alipenda kuvaa namba 13 kila mfatiliaji wa soka anajua kilichomkuta katija career yake.
Asante sana kwa nukuuMpaka hapo Sina la ziada kwa hisani kubwa ya saint Cazora nawatakieni jioni njema
Wazungu walisema ati ana vinasaba vinavyomuwezesha asiweze kufa

labda kwasabu wamemshindwaNo 13 ni shida sana, pia huwa wanalinganisha 13 ngapi zinaangukia jumatatu zikizidi kwa wastani kwa mwaka, huo mwaka huwa ni wa hatari sanaLeo katika Historia:
September 13 ni moja kati ya Siku mbaya katika mwaka.
Hasa tarehe 13 idondokee Ijumaa wazungu wanaamini hiyo ni siku mbaya sana katika maisha.
Na wameenda mbali zaidi wakiamini namba 13 ni namba ya mikosi baadhi ya Nchi kama Urusi katika kalenda yao hawana tarehe 13.
Hata kwenye mpira jezi namba 13 huvaliwa zaidi na magolikipa kuliko wachezaji wa ndani.
Ballack alipenda kuvaa namba 13 kila mfatiliaji wa soka anajua kilichomkuta katija career yake.
1989 - Maandamano makubwa ya kupinga Ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini yanafanyika chini ya Uongozi wa Desmond Tutu.
Nipo sana, sema tunapishana majukwaa..Ni njema sana, mishe vipi? Umeadimika jombaa
We miss you tooMissing you Kf...
Hongera kwa 105k, wamchangani walikuwa wanaivizia
Nipo mdogo mdogo.. Tulikumiss wewe kwa kitambo kirefu, welcome back..We miss you too, ulipotea
KaribuMissing you Kf...
Kivipi?Umeliwa
105k
![]()
![]()
![]()
.......
Pamoja sana AnkaliAsante sana ankali
Mambo kakaake?Wazungu wanazingua hapo.. Mbona watu wengi tu waliozaliwa hiyo tarehe wako vizuri sana?
Alishinda segment gani kwenye huyo nobel?1940 - Oscar Arias anazaliwa.
Rais wa Costa rica namshindi wa tuzo ya Nobel.
Habari ya kazi my dearNi njema sana, mishe vipi? Umeadimika jombaa
Sifa yangu id yangu ni ya ukweli.Tupe sifa zako
Kama nani???Wazungu wanazingua hapo.. Mbona watu wengi tu waliozaliwa hiyo tarehe wako vizuri sana?