Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 1#

Asilimia 90% ya wanasiasa ndio wanaosababisha wanasiasa wenzao ambao ni 10% iliyosalia, kuporoka kwa hadhi zao mbele ya Jamii.

Maneno haya yalisemwa na Henry Alfred Kissinger.
Kissinger alizaliwa Mei 27,1923. Ni mwanadiplomasia wa Marekani na mtaalamu wa siasa.
Amewahi kuitumikia nchi kwa wadhifa wa mshauri wa masuala ya ulinzi na usalama na baadaye, waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika tawala za Rais Richard Nixon na Gerald Ford.
Ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa Marekani kuondoa vikosi vyake nchini Vietnam na kuzawadiwa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 1973
 
IMG_20160913_192221.jpeg
IMG_20160913_192207.jpeg

Ukweli mtupu
......
 
NUKUU NO 1#

Asilimia 90% ya wanasiasa ndio wanaosababisha wanasiasa wenzao ambao ni 10% iliyosalia, kuporoka kwa hadhi zao mbele ya Jamii.

Maneno haya yalisemwa na Henry Alfred Kissinger.
Kissinger alizaliwa Mei 27,1923. Ni mwanadiplomasia wa Marekani na mtaalamu wa siasa.
Amewahi kuitumikia nchi kwa wadhifa wa mshauri wa masuala ya ulinzi na usalama na baadaye, waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika tawala za Rais Richard Nixon na Gerald Ford.
Ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa Marekani kuondoa vikosi vyake nchini Vietnam na kuzawadiwa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 1973
What a leader!
 
NUKUU NO 2#

Mauaji ya kimbali barani Africa hayajapewa uzito unaostahili kama mauaji ya kimbali ulaya au mauaji ya kimbali Uturuki katika upande mwingine wa Dunia.
Bado Kuna hali ya unyanyapaa dhidi ya watu wa Africa na matatizo ya Africa

Maneno yalitamkwa na Boutros Boutros -Ghali.
Boutros alizaliwa Nov 14,1922, ni mwanasiasa wa Misri na mwadiplomasia aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kuanzia 1992 hadi Dec 1996.

Ni mwanataaluma na aliwahi kuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa Misri, Aliiongoza UN katika wakati wa changamoto nyingi Duniani yakiwemo machaffuko ya Yugoslavia na Rwanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom