makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,953
- 104,339
Wote unaowaona humuNani yupo macho tupige story
Wote unaowaona humuNani yupo macho tupige story
Mmetumia mpango wa kando kupata ubingwaHuu mchezo hauhitaji hasira
Hii ya leo kali, hapa notification zilikwama muda sana eti sahivi ndio zinakuja![]()
![]()

Sijui kakimbilia wapi.. Asijekuwa kaenda kuji"MKWAWA" maana wale wenye tabia hizi si majiran zake..Jecha kausika hapa
Ovaaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yani nikiwa na uhakika wa kuangusha mzigo hapaSasa nitegemee lini jamani??
Basi haikuwa bahati yakoHapana, niliitamani ila sikupania kiasi hicho..
Huyu kashakuwa teja kabisa
Sure.. Asiye na bahat, habahatiki.Basi haikuwa bahati yako
Kwanini usiweke wewe?Ngoja bitoz uchwara aje keaho atakutimizia matakwa yako![]()
![]()
Hashindwi kabisaSijui kakimbilia wapi.. Asijekuwa kaenda kuji"MKWAWA" maana wale wenye tabia hizi si majiran zake..
Hapo sawaYani nikiwa na uhakika wa kuangusha mzigo hapa
Lazima nkushtue tena kwa madoido mengi
Asante kaka. Tupo pamoja.Mimi mzima kabisa, pole na majukumu
Mtandao ulikuwa overloadedHii ya leo kali, hapa notification zilikwama muda sana eti sahivi ndio zinakuja![]()
![]()
Iko njema sana. Za siku vipi?Mimi ni buheri wa afya sijui wewe?
Hebu mwambie Mussolini amfatlie.Hashindwi kabisa