Yeye alijinasibu hivyo kwa jirani yangu na akapigwa chini vile vile na madoido yakeAcha kumpamba huyo tapeli
![]()
![]()
![]()
..........
Huyo katisha sana
Asante kwa nukuu ya LeoSina la ziada kwa hisani ya mzee wa mapicha picha bitoz, ijumaa njema
Ciao bene Makaveli10Himena himenes
Ciao
Asante sana mwenyekitiLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mimi Mwenyewe tukutane kesho.
Ijumaa Kareem.
Ijumaa Mubarak la azizIjumaa kareem waungwana!!
Miss you so muchAja aje luvbird wangu![]()
Umetafutwa sana Leo,Ijumaa Mubarak la aziz
Haya sasa masinzi sio sambusa
Bila kujali sana mpangilio zote tu zimebamba, niliweka ka-play list temporary nimeziskiza sana tuHaahaaa hata mimi nilipanga iwe hivyo, sema sasa nlikuwa barabarani.
Na nikawa nazipigiga na kuzipanga nikajikuta imekuwa ya sita.
Next time tutazipanga vizuri usijali.
Mambo vp mkuu?Kweli
Umepotea sana kipenzi.. Kulikoni?Ijumaa Mubarak la aziz
Na nani? Msg nyingi sijazisoma zote.... Ntakuwa narudi nyuma pole poleUmetafutwa sana Leo,
Karibu. Soma page ya kwanza post ya 1- 3Nazani natakiwa kuwa huku.
Bonge la idea ila ile kwenye titanic jack alimchora rose pekeake hakuchora picha ya wote wawili... yan sipati picha pozi atakaloweka Jimena kama roseafu bila nguo sasa