briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Missing you too hny, afu app bado inanizingua siwez ingia pm mpaka sasa na notifications zinakuja baadhi tu sijajua tatizo hasaMiss you so much
Missing you too hny, afu app bado inanizingua siwez ingia pm mpaka sasa na notifications zinakuja baadhi tu sijajua tatizo hasaMiss you so much
Nipo sasaHiyo ngoma inagusa nerves za hisia mpaka mwisho asee, i wish Jimena wangu angekuepo hapa tuskize nae hizi ngoma pamoja
Kuna Uzi mpya CC wakupeana promo unaitwa hukoNipo sasa
Tusikilize kwa pamoja sasa
Watamaliza majina yote mwaka huuKuna Uzi mpya CC wakupeana promo unaitwa huko
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Uzuri KF inabadilika km kinyonga hivyo haichoshiWatamaliza majina yote mwaka huu
KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Kama vip hvyo...Kapatwa na vingi sio jua tu....![]()
Asante sana Cobblepots hakika leo umenifurahisha sana
Hizi ngoma jamani sina hata la kusema.
Zote ni kali sana
Ile no 6 ni dedication toka kwanguNipo sasa
Tusikilize kwa pamoja sasa



Huyo kweli mzembe, yaani mtoto rehema kaishaeleka kibla badala ya kuchinja anaonesha upumbav..MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Habari shululuHuyo katisha sana
My sissyCiao bene Makaveli10
Poa kaka, vp pande zakoMambo vp mkuu?
Haha naona unajaribu kuvaa viatu vya MZEMBEHuyo kweli mzembe, yaani mtoto rehema kaishaeleka kibla badala ya kuchinja anaonesha upumbav..


Ni njema sana, leo uliadimika kidogoPoa kaka, vp pande zako