Okey nimeelewa tupo pamoja sasa.Karibu. Soma page ya kwanza post ya 1- 3
Teh! Teh!..Yeye alijinasibu hivyo kwa jirani yangu na akapigwa chini vile vile na madoido yake

Uzuri KF inabadilika km kinyonga hivyo haichoshi
Utamu ukiisha thread itapotea km Vingongo Forum ilikuja kwa mbwembwe zote lkn now zinapita hata 4 days kimyaaaaaa
............

Jana na Leo nilikuwa busy sana... Ila kuanzia kesho kila kitakuwa okayUmepotea sana kipenzi.. Kulikoni?
Clear data labda itakuwa sawa, ikishindikana uninstall kisha uinstall upyaMissing you too hny, afu app bado inanizingua siwez ingia pm mpaka sasa na notifications zinakuja baadhi tu sijajua tatizo hasa
Nimetingwa tu ndg, ci wajua yale mambo yetuNi njema sana, leo uliadimika kidogo
Watasubiri sanaaaKuna Uzi mpya CC wakupeana promo unaitwa huko
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Nilikuwa busy sana Leo. Ila kila kitu kiko okay sasa
Jimena ulikuwa wapi?
Miss you so much!
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
No 1 ni kutoka kwangu withIle no 6 ni dedication toka kwangu![]()

NiajeMy sissy
Pouwa sana but baridi inatishaNiaje
Mkianza kumimoniwa magoli usije hapa kumponda
.........
Poa mwaya usijaliJana na Leo nilikuwa busy sana... Ila kuanzia kesho kila kitakuwa okay
Safi Nyamipua

Nishafanya vyote hivyo lakin bado tu mpka nikafikiri labda niwacheki modsClear data labda itakuwa sawa, ikishindikana uninstall kisha uinstall upya
Wamenoga sana
Pole ndugu... Ubize unalipa lakinNimetingwa tu ndg, ci wajua yale mambo yetu
