Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 392045
Nani anamshauri huyu mzee mkurupukaji?
Anafikiri pesa zinafichwa km maharage?
Kaliwa

.................
Nahis aliongea kimasihara, hawez kuwa serious.. Sasa ubadilishe pesa, ndio inakuwa nini.. Coz unapobadlisha nao wanaziweka kwenye mzunguko zinabadilika.. Hakn mwiz wa kuhifadhi pesa ndan tu bila kuizungusha, n wengine waishaweka katika dolarii..
 
Asante sana mkuu mussolin

Kwa kukazia zaidi
Tarehe kama ya leo papa John Paul wa pili anasoma Misa yake ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania, viwanja vya jangwani mwaka 1990

Tarehe kama ya leo tajiri na mmiliki wa timu ya Chelsea Roman abromovic anawasili Tanzania kwa ajili ya kupanda mlima kilimanjaro
Alikuja na ndege yake yenye uwezo wa kubeba abiria 200, lakini walikuja watu sita tu, ilitua KIA, ilikuwa mwaka 2009
Kwaniaba ya makapuku wenzangu.. Tunashkur historia yako yenye vipengele vya nyngeza vya a, be na che
 
NUKUU NO 1#

Ni muhimu madeni yalipwe lakini si lazima yalipwe kwa garama kubwa inayosababisha njaa kwa wananchi,

Dunia ni lazima iwe na uwazi wenye misingi ya demokrasia katika kusaka maelewano yatakayozaa muundo wa ulipaji wa madeni ya kimataifa

Haya yalisemwa na Cristina Elisabet Fernandez de Kirchner, aliyekuwa Rais wa Argentina kuanzia mwaka 2007 hadi 2015

Mwana mama huyo alizaliwa Feb 19,1953

Ni mjane wa Rais wa zamani wa Argentina, Nestor Kirchner na ni mwanamke wa pili kushika wadhifa wa Rais Argentina, akitanguliwa na Isabel Martinez de Peron, aliyeshika wadhifa huo mwaka 1974 hadi 1976
 
NUKUU NO 2#

Nia ya Tanzania ni kuona kwamba usawa wa watu wake unafikiwa katika saisa yake ya ujamaa

Lakini watu wasitegemee maajabu makubwa kuwa siasa ya usawa itafikiwa kwa muda wa siku moja, ikiwa watanzania wanataka maendeleo ya nchi Yao lazima wakubali mabadiliko yanayotokea

Haya yalisemwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam Dec 9,1971.

Mwalimu alizaliwa April 13,mwaka 1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999 jijini London Uingereza alikokuwa akitibiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom