Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning...[emoji11]
Dah.. Siku hizi mambo mengi mpaka nasahau, mkweo ameniambia kakumis, so jiandae jumapili tunasafari ya kigamboni, mkweo akakuone

Then jana nilipitia home kuona wakwe zangu, mama anasema umemsusa wiki nzima hujamtafta.. Alinitania kwa kusema mimi ndio nmekuwa mwanae mzur, wewe umemgwaya..
 
1472807324888.jpg
 
Back
Top Bottom