Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Karibu mwenyekiti leo tumekukosa sana najua ni ubize wa majukumu.Amen
Karibu mwenyekiti leo tumekukosa sana najua ni ubize wa majukumu.Amen
Mtoto mzuri hujui kukosea.Mi hapo
1. Boys 2 men- dreams
2. Keith Sweet- twisted
3. Spice girls- Viva forever
Kapatwa na vingi sio jua tu....Alizaliwa wakati wa kupatwa kwa jua..![]()
![]()


Hilo nalo neno lakiniHapaswi kushusha thaman utu wake kisa pesa.. Hebu fikiria wanae wanamchukuliaje.. Vipi watu timam waliomzunguka, ni kama vile mtoto uwe na maza kicheche.. Kama anafanya hayo kisa pesa hana tofaut ya kiakili wala kiroho na wale wanaotembea uchi kwa tv.. Kama anayafanya haya madogo ili apate pesa, vip akipewa dau kubwa zaid, si atafanya ambayo hujawah kumuwazia..
Jirani katika ubora wakeKapatwa na vingi sio jua tu....![]()
Jirani Kuna chanel za TV zipo zuku, magic TV,smash TV,kerang TV,hits TV na MTV base, Sasa ondoa hiyo MTV hizo nyingine kwa music ni shida, hasa magic ya wamarekani Sina cha kuwaelezea ila kifupi wako vizuriKapatwa na vingi sio jua tu....![]()

Wewe ni jirani mzuri sana nashukuru kwa kuniambia hiii yani tangu nione siku ile umenunua tu mbona mi fasta tu...nikatafuta hiyo Zuku Magic ndio hatari wana miziki ile ile yenyewe na wanapiga sana hadi top 100. Kumbe na Smash, Kerrang na Hits tv pia? ngoja nianze kufuatilia. ThanksJirani Kuna chanel za TV zipo zuku, magic TV,smash TV,kerang TV,hits TV na MTV base, Sasa ondoa hiyo MTV hizo nyingine kwa music ni shida, hasa magic ya wamarekani Sina cha kuwaelezea ila kifupi wako vizuri
Sasa Mukongo ulitaka Mzembe afanyeje si alitaka Rehema aone saa yake ya Kimwekumweku au?!!MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




Nazikubali sana hizi chanel, hits niya uingereza wanapiga sana nyimbo za uingerezaWewe ni jirani mzuri sana nashukuru kwa kuniambia hiii yani tangu nione siku ile umenunua tu mbona mi fasta tu...nikatafuta hiyo Zuku Magic ndio hatari wana miziki ile ile yenyewe na wanapiga sana hadi top 100. Kumbe na Smash, Kerrang na Hits tv pia? ngoja nianze kufuatilia. Thanks
Kaka mkubwa umelenga mule mule lakin hiyo namba 6 umeipeleka mbali sana ilibidi ndo iwe namba 2... Akhsante kwa hii burudani though
Sasa Mukongo ulitaka Mzembe afanyeje si alitaka Rehema aone saa yake ya Kimwekumweku au?!!![]()

Nzuri tajiri wa city boy, uko poa weweHabari zenu wandugu
PowazHabari zenu wandugu
Acha kumpamba huyo tapeliNzuri tajiri wa city boy, uko poa wewe
KweliItakua hela za kuhamia zimeishia kwenye kuuvunja ukuta![]()
Mkianza kumimoniwa magoli usije hapa kumpondaHuyo ndo anafaa mkuu anakaba na kushambulia