Makapuku Forum

Makapuku Forum

I will always make you feel special...we belong together my darling. Kiss [emoji9]
Sometimes nakosa maneno sahihi yakueleza vile nakupenda.. Nikiandika kwa maneno ndio yatakuwa maneno ntajaza kitabu cha page 10000 na isitoshe, nikikutungia nyimbo itakuwa best song ya mapenz kwa muda wote mpaka kiama..[emoji7] [emoji7]
 
You say it better...when you say nothing at all...[emoji4][emoji178]
 
Tena nashauri mchore kama vile Jack na Rose wa Titanic...ndio itanogako zaidi eti shem idea yangu nzuri eeh?! [emoji4][emoji4]
Bonge la idea ila ile kwenye titanic jack alimchora rose pekeake hakuchora picha ya wote wawili... yan sipati picha pozi atakaloweka Jimena kama rose [emoji85][emoji85][emoji7] afu bila nguo sasa
 
Back
Top Bottom