Makapuku Forum

Makapuku Forum

1472807433581.jpg

To be continued
...............
 
Dah.. Siku hizi mambo mengi mpaka nasahau, mkweo ameniambia kakumis, so jiandae jumapili tunasafari ya kigamboni, mkweo akakuone

Then jana nilipitia home kuona wakwe zangu, mama anasema umemsusa wiki nzima hujamtafta.. Alinitania kwa kusema mimi ndio nmekuwa mwanae mzur, wewe umemgwaya..
Mambe mengi mme wangu hadi basi, poa tufanye twende kwa wakwe nimewamiss sana kwakweli...kuhusu mama jana tu nimeongea nae jamani lol...unajua anakupenda sana nadhani alikuwa excited tu kuongea na wewe.
 
NUKUU NO 1#

Ni muhimu madeni yalipwe lakini si lazima yalipwe kwa garama kubwa inayosababisha njaa kwa wananchi,

Dunia ni lazima iwe na uwazi wenye misingi ya demokrasia katika kusaka maelewano yatakayozaa muundo wa ulipaji wa madeni ya kimataifa

Haya yalisemwa na Cristina Elisabet Fernandez de Kirchner, aliyekuwa Rais wa Argentina kuanzia mwaka 2007 hadi 2015

Mwana mama huyo alizaliwa Feb 19,1953

Ni mjane wa Rais wa zamani wa Argentina, Nestor Kirchner na ni mwanamke wa pili kushika wadhifa wa Rais Argentina, akitanguliwa na Isabel Martinez de Peron, aliyeshika wadhifa huo mwaka 1974 hadi 1976
Sijui kama huku TZ wamalijua hilo...
 
NUKUU NO 2#

Nia ya Tanzania ni kuona kwamba usawa wa watu wake unafikiwa katika saisa yake ya ujamaa

Lakini watu wasitegemee maajabu makubwa kuwa siasa ya usawa itafikiwa kwa muda wa siku moja, ikiwa watanzania wanataka maendeleo ya nchi Yao lazima wakubali mabadiliko yanayotokea

Haya yalisemwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam Dec 9,1971.

Mwalimu alizaliwa April 13,mwaka 1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999 jijini London Uingereza alikokuwa akitibiwa
Tz na mabadiliko bado sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom