Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Mwonekano baadae utu kwanza![]()
![]()
![]()

Mwonekano baadae utu kwanza![]()
![]()
![]()

Bitoz ana Id yake nyingine anayoitumia hapa. Anajiita Fundi chupi.
Itafuteni alafu muone mbwembwe zake

Salam zimefika chiefWasalimie sana hapo Kiabakari.
Mbona bomba tu, hakuna aliyeshiriki uumbaji na hatuna uchaguzi ktk hiloHata kama niko hivi?View attachment 377465
Karibu, vp za kahamaHodiiiii
Asante sana, nimeanza kuifanya hii leoNakushauri uwe unatembea na matunda kama maepo, ndizi nk muda wa kula ukifika we kula moja tu litatosha sana
Ahsante WengerMimi leo ni L,city
Big up!!
Habari ya safari kakaBig up!!
Oiiii.... Vp kwa J.J sasa, umelivua pendo??Ngoja kwa kuwa tutenda wote tuta jua
Nna rafki yangu mtt mdogo tuu lakn uwa ana sumbuliwa na shda hyo
Hapa nakumbuka ile msg yd Th Name....kishkwambi anajua mpaka....Hapo najua Chopa ashajipatia Kiki Jera... hiyo story inanikumbuka movie ya HARD WAY jinsi Kevin Hart alivyokuwa anamfundisha yule jamaa mbinu za kukabiliana na wababe pindi aendapo jera...![]()

Ni njema sana kaka niko mwanza sasa nafakamia sato tuHabari ya safari kaka
Ok, nmeshamaliza kushusha episode 5 za riwaya, kwa muendelezo tukutane tena kesho wasaa km huu huu.
Nmeleta riwaya kwa udhamini wa QUIGLEY kutupia post ya 78k na Manchester United anashinda mechi ya leo

Aaaaa mkuuu mate yanitoka....kitangiri one, seketoure, kirumba nkNi njema sana kaka niko mwanza sasa nafakamia sato tu