Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Naweza kuwa sukari yakoJamani hakuna kitu kizuri kama kupendwa...Asante Quigley![]()

Naweza kuwa sukari yakoJamani hakuna kitu kizuri kama kupendwa...Asante Quigley![]()

Bitoz unapenda sana mpira...

Hongera sana mkuu
Ahaaa kumbe bado hujajua?Bitoz unapenda sana mpira...![]()
Duh!Ulitaka nipende chupi?
![]()
![]()
![]()
...........
Oooh thanx rafiki yangu...nilikumiss kakaHongera sana mkuu
Hongera sana kwa 78k
Ulitaka nipende chupi?
![]()
![]()
![]()
...........
Asante dada jimenaHongera sana kwa 78k
Jamani hahaha hamna wewe umesema!!...ila napenda tu mtu ukiwa na hobby maalum...mfno kama hvyo wewe mpira, Mimi Netball, vitabu, nyimbo na movie. Ni vizuri kuwa na HobbyUlitaka nipende chupi?
![]()
![]()
![]()
...........
Niko bize kucheki mpiraDuh!
Mwonekano baadae utu kwanzaJamani kweli? had kunipenda huko umenijengea picha gani kwanza kichwani...nisije nikaku disappoint na muonekano wangu bure...![]()

Nipo mkuu.Oooh thanx rafiki yangu...nilikumiss kaka
Kwa kweli ni faulo hiyo
Asante kwa taarifa basi ngoja na mimi nibuni kitu niwe nakuja nacho...kama sehemu ya hobbyAhaaa kumbe bado hujajua?
Iko hivi;
1) jimena...magazeti
2)musolin5...leo ktka historia
3)shululu....nukuuu ya leo
4)quigley....je wajua?...amesimama kwa muda
5)bitoz...fix, na michezo