briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Uko sahihi sana shululu, kahama ni bora maramia kuliko shinyanga nimepitia huko leoKaribu, vp za kahama
Uko sahihi sana shululu, kahama ni bora maramia kuliko shinyanga nimepitia huko leoKaribu, vp za kahama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwiiiiii
Weee [emoji28]Oiiii.... Vp kwa J.J sasa, umelivua pendo??
Mkuu piga jaramba tu, patience123 anamimba nakula kila siku ananitoshaaaaa@patience123
HayaUshachelewa wewe
Haha malaika moja hiyo nabadilisha tu recipe za sato.. nimemaliza wa mchemsho anakuja mwingine wa kuchoma [emoji4] [emoji4]Aaaaa mkuuu mate yanitoka....kitangiri one, seketoure, kirumba nk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa kijana kula vitu but uwe makini na mademu wa mwanza ni noma, wanashirikiana na watoto wa mbwa yaani chokoraa, watakomba kila kituHaha malaika moja hiyo nabadilisha tu recipe za sato.. nimemaliza wa mchemsho anakuja mwingine wa kuchoma [emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hakuna ratio kwenye penzi.. Chagua mmoja!!Weee [emoji28]
Ntakuua
Nampenda jimena wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] patience123 ukuje hukuMkuu piga jaramba tu, patience123 anamimba nakula kila siku ananitoshaaaaa@patience123
KaribuHodiiiii
Kwan kwenda ospital na sweetapple siruhusiwi!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hakuna ratio kwenye penzi.. Chagua mmoja!!
Unazungumzia wale wa villa pale mbona nawajua vizuri, ni wezi wale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa kijana kula vitu but uwe makini na mademu wa mwanza ni noma, wanashirikiana na watoto wa mbwa yaani chokoraa, watakomba kila kitu
Yuko hapa pembeni naipapasa mimba changa tu[emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] patience123 ukuje huku
J. J analijua hilo??Kwan kwenda ospital na sweetapple siruhusiwi!!
Umeamua jambo la busara sanaAsante sana, nimeanza kuifanya hii leo
Kumbe mtundu ee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unazungumzia wale wa villa pale mbona nawajua vizuri, ni wezi wale