briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Mamboz? Jana usiku ndo ukapotea kimyakimyaKaribu
Mamboz? Jana usiku ndo ukapotea kimyakimyaKaribu
Kumpeleka ospital sitakiwi!!?
Fanya ugeuze sasa usijerudi na kitambi bureHaha malaika moja hiyo nabadilisha tu recipe za sato.. nimemaliza wa mchemsho anakuja mwingine wa kuchoma![]()
![]()
Sasa ukiua utaharibuWeee![]()
Ntakuua
Nampenda jimena wangu
Haha hapana mkuu, mwanza nimekuja sana napafaham kiasi chakeKumbe mtundu ee![]()
![]()
![]()
![]()
Ubarikiwe weweUmeamua jambo la busara sana
DuuuhSasa ukiua utaharibu
Hongera sanaYuko hapa pembeni naipapasa mimba changa tu![]()
![]()
Hata mimi niliidaka point yako kwani huwa najali kazi nasahau kula, kuanzia sasa ntautendea kazi ushauri wakoUmeamua jambo la busara sana
Weraaaaaaaa
Unafaidi sana mkuu, nakutamaniaYuko hapa pembeni naipapasa mimba changa tu![]()
![]()
Pole aisee, usingizi ulinizidi nikaona sio kesiMamboz? Jana usiku ndo ukapotea kimyakimya
Nani aliruhusu? Tuanzie hapo kwanzaKumpeleka ospital sitakiwi!!?