Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1998 - Balozi za Marekani zilizopo Kenya na Tanzania zalipuliwa katika tukio la kigaidi na kuua takribani watu 212.

Waliohusika katika tukio hilo ni kikundi cha Kigaidi cha Al Qaeda chini ya uongozi wa Osama Bin Laden.

Mtanzania Mohamed Ghailani kutoka Zanzibar ndiye aliyehusika katika mlipuko wa Tanzania, na alikamatwa huko Pakistani miaka minne baadae na kwa sasa anatumikia kigungo chake huko Guantanamo Bay.
Hii siku Naikumbuka vizuri sana Mama alinifata shule nirudi nyumbani
 
Leo katika Historia:

1960 - Ivory Coast inajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
1470547363210.jpg
1470547367541.jpg
1470547371835.jpg

Kodivaa
.........
 
Leo katika Historia:

1998 - Balozi za Marekani zilizopo Kenya na Tanzania zalipuliwa katika tukio la kigaidi na kuua takribani watu 212.

Waliohusika katika tukio hilo ni kikundi cha Kigaidi cha Al Qaeda chini ya uongozi wa Osama Bin Laden.

Mtanzania Mohamed Ghailani kutoka Zanzibar ndiye aliyehusika katika mlipuko wa Tanzania, na alikamatwa huko Pakistani miaka minne baadae na kwa sasa anatumikia kifungo chake huko Guantanamo Bay.
1470547622395.jpg
1470547627027.jpg
1470547633986.jpg

Bomu ni soo
..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom