Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Nahisi hata youngblood pia atakuwa kashatembezea upanga na TCRAJamni Manuu cm imezimwa!
Amaizing naye amekatwa, duuh tcra hawafai
Nahisi hata youngblood pia atakuwa kashatembezea upanga na TCRAJamni Manuu cm imezimwa!
Amaizing naye amekatwa, duuh tcra hawafai
DuuhNahisi hata youngblood pia atakuwa kashatembezea upanga na TCRA
Naona kaka mshana jr. tunamwondoa pale juu!!! Sijui kwanini hajagi tena huku

Majirani wamekuja kunigongea hapa wananiuliza kama simu yangu ya touch imezimwa maana mtaa mzima mimi ndiyo mwenye smartphone pekee![]()

Huyu dada hasaidiki kabisa.
Morning shemdarling.Morning all
Unakumbukwa sana. Habari ya siku nyingi?dah siku nyingi zimepita tangu niingie kwenye uzi huu hivi bado NAKUMBUKWA?
Usiwe kauzu kiasi hicho shemdarling. Mkubalie huyo jamaa bhana.Kwani tumeanza lini kuwa couple??![]()
![]()
![]()

Hahahaaa...Nadhani mtambo wa TCRA nao ni feki maana simu bado zinapetanaipenda Tanzania yangu. Utasikia bunge lijalo wanajadili mtambo wa TCRA
![]()
Hawajampeleka Sober kwa KingKong?Kachanganyikiwa(CHIZI),
Sababu ya kula nganda
Usishangae ht kitaani ksenu wapo
............
SHWAR MKUUpoa aje
Huo mji ndo uliwahi pia kukumbwa na tetemeko?Jamani upasta nilishaacha, napiga zangu dili za dubai, na japani hasa pale Tokyo n'a mji wa kumamoto. Sale wa magari nipeni oda zenyuu
