Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Kwa hapo nakuheshimu sanaBei ya simu yangu ni kwa Sumbai ni mtaji wa duka lake
Kwa hapo nakuheshimu sanaBei ya simu yangu ni kwa Sumbai ni mtaji wa duka lake
Maisha ni kupanda na kushuka X babyHeee umefulia hadi ile HTC ya 1 ml nilokununulia umeuza, jamni mpenzi xxx
Hahahaaa.... Mpe pole yake.Bia moja... Yeye yuko Hoi kuliko mimi
Hahahahhahah....mnunulie linamo buaaannahMkuu cm yangu kwako ni mtaji wa kulisha familia yako
Itakuwa na wao wamezima.Jamni Manuu cm imezimwa!
Amaizing naye amekatwa, duuh tcra hawafai

Kajamaa kachawi sana... Hakakupatana na mtumishi enzi hizo, mtumishi akakemea nguvu za giza kakatoweka naturallyKwani sasa ulifanya hivyo?
Chanzo ni nini hasa.
Babe goodmorningMaisha ni kupanda na kushuka X baby
Ha ha ha haaaaaaaaa... Mahaba nigaragaze unitupe ng'ambo. he he he heeeeView attachment 357300Sumbai na patience123
Kijana wangu youngblood amenusurika. Simu yake bado iko hai.Nahisi hata youngblood pia atakuwa kashatembezea upanga na TCRA
Ila umetisha besti, ulivyo smart sikutegemea ule mchapioNime edit kitambooo
Hahahaaaaa nimechekaaa hadi watu wameogopaaaaaaHa ha ha haaaaaaaaa... Mahaba nigaragaze unitupe ng'ambo. he he he heeee
Basi sawaNime edit kitambooo

Mpenzi uongo mbayaa nimeogopaIla umetisha besti, ulivyo smart sikutegemea ule mchapio
Nimemzawadia yake wamefyekaKijana wangu youngblood amenusurika. Simu yake bado iko hai.
Majanga.![]()
![]()
Mlevi avunjavunja simu baada ya TCRA kufanya yao
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........