EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Na wewe njoo kwangu upate raha.Kula raha my Wii maisha yenyewe mafupi. Acha jambilo ajidai hazitaki mbichi kumbe anakauka koo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Na wewe njoo kwangu upate raha.Kula raha my Wii maisha yenyewe mafupi. Acha jambilo ajidai hazitaki mbichi kumbe anakauka koo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Salimia watotoNdio nakaribia mkuu...
Wachepukaj utawajua tuuPia kulinda heshima ya mwanaume kwenye familia.![]()
![]()
![]()
![]()
Nilipo ziko nyingi Sana sahivi matafuta karaha tuNa wewe njoo kwangu upate raha.
![]()
![]()
![]()
Nakusalimia dada angu...Na nina penda kuona ukiwa salama salmini...So usisite kuniambia pindi uonepo shida kutoka kwa mtu yeyote yule...Kaka
KumbeeNishakimbia, si unajua mzoea vya kuchinja, vya kunyonga haviwezi.

Sawa kaka. Msalimie wifiNakusalimia dada angu...Na nina penda kuona ukiwa salama salmini...So usisite kuniambia pindi uonepo shida kutoka kwa mtu yeyote yule...
Tengua kauli hahahaaa...Nilipo ziko nyingi Sana sahivi matafuta karaha tu
Hicho hicho......Kibami...
Zimefika kabisa dada angu...Sawa kaka. Msalimie wifi
Nani tena huyo shemdarling?Tulia niongee na Bibi yangu kwanza. Halafu kuna mtu nataka nimgeuze fisi niwe nasafiri naye usiku maana anaringa Sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
poa ajeMambo vipi wanafamilia
Prado yangu moja hivi Youngblood anaijuaNani tena huyo shemdarling?

aombe mwongozo...![]()
sitengui
Yaani nimesaka sana binti wa sumbawanga, nashukuru kufaham hiloMmiminie maji![]()
![]()
![]()
![]()
![]()