briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majirani wamekuja kunigongea hapa wananiuliza kama simu yangu ya touch imezimwa maana mtaa mzima mimi ndiyo mwenye smartphone pekee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]