Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sio mbaya sana lakini![]()
Full Time
................
Sio mbaya sana lakini![]()
Full Time
................
Waanzie DarWatazima kidogo kidogo kila mkoa,,,
Na kwako piaUsiku mwema
SekeiNipo Arusha, mkuu broh wako yupo Arusha maeneo yapi?
Mkuu we umenusurika?
Duh wakianzia dar kesho patakua kimya sana humuWaanzie Dar
Ngoja tusubiriHahahaa lakin naskia hawajamaliza zote
Pole
Tutajua vizuri baada ya kama siku mbili hivi mana naskia zoezi lenyewe linaenda kwa hatuaJamani kapuku yoyote aliyezimiwa simu yupo!!?
Oky, sawa mkuu.Tutajua vizuri baada ya kama siku mbili hivi mana naskia zoezi lenyewe linaenda kwa hatua
ahaa powa, mi nipo Kimandolu Mkuu.Sekei






Poa mkuu, pamoja sanaahaa powa, mi nipo Kimandolu Mkuu.
Hadi ifike asubuhi watakuwa washamaliza vifaa vyote vyenye IMEI batili ..Hahahaa lakin naskia hawajamaliza zote