Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Uko sahihiMkuu....
Naomba uniwekee screen capture ya toplike...maaana Simu zetu hizi zilizokoswa koswa na tcra haziwez
Uko sahihiMkuu....
Naomba uniwekee screen capture ya toplike...maaana Simu zetu hizi zilizokoswa koswa na tcra haziwez
SanaaIla watu wana roho ngumu saana dah
Mkuu....
Naomba uniwekee screen capture ya toplike...maaana Simu zetu hizi zilizokoswa koswa na tcra haziwez
Asante kwa kuliona hilo
Nzuri mkuuza asubuhi wakuu
Jambilo uko vizuri.... Sijui nikukubalie
Haaaahaaaa, unamtisha sumbai![]()
Km Mimi.....anyway sitaki tena demu wa Kitanga wana majanga nilichungulia tu nikaona shimo kubwa
........
Mkuu hizi gari zinapendezea sana kutoa kama zawad siku ya birthday

Kwani hii unaiona wapi?
Ngoja nikufikirieAsante kwa kuliona hilo
Angalia katoa like ngapiJambilo uko vizuri.... Sijui nikukubalie
Umeanza
KabisaaaAngalia katoa like ngapi
Anaongoza kwa uchoyo
NIKO FAIR
..................
Ni gud, karibu jamaaza asubuhi wakuu
Mkuu hizi trophy point zilikuwa 113 kwa wote Siku hizi zimekuwa
Kwa swaga zile haifai kabisaMi mzima kabisa chief, mi nlidhani mipekeangu ndo namtilia shaka yule jamaa ka ni mchele mchele![]()
![]()
Oooh my goodnessNgoja nikufikirie
Ni mabadiliko ya kawaida tuMkuu hizi trophy point zilikuwa 113 kwa wote Siku hizi zimekuwa
Dah Jf bwana....
Zinakuwaje kuwaje hizi
Sisemi yéyé anaziona, ninalike mwanzo mwisho, nakupenda rais wangu japo wewew wajijuaAngalia katoa like ngapi
Anaongoza kwa uchoyo
NIKO FAIR
..................