Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Nataka ng'ombe 60Ohoo nina ranchi yangu, ongea na Manuu pembeni atakupa ubuyu, pia valentina Dadake mie naye atakwambia![]()
![]()
Nataka ng'ombe 60Ohoo nina ranchi yangu, ongea na Manuu pembeni atakupa ubuyu, pia valentina Dadake mie naye atakwambia![]()
![]()
Huwa nafurahi kukuonaNiambie ndugu yangu
Wifi yako hajambo kabisa. Shem mzimaMzima kabisa Wii hajambo?
Mimi pia kakaHuwa nafurahi kukuona
Ha haaaa kaoe kusiniDuh.... Ndio nasikia kwako...Dawa yao ni una hit kisela tuu
Mimi pia kaka

Kwa mwendo huu mke taoa Tanga..wasambaa weupe piaHebu mwambie,akae akiwa anajua

Wanamrekebisha MunguBora nilishwe kambale wachafu wa Mabibo lakini sio makalio
BIG NO
..............
Tena Ilikuwa Lushoto cjui kibaridi ndo anataka nimpashe motoDuh mahaba nipeleke Tanga![]()
![]()
![]()
Mzima kabisaWifi yako hajambo kabisa. Shem mzima
Morning dadake nlimiss uwepo wakoMornie briz
Mie nipo wewe ndo umeadimikaMorning dadake nlimiss uwepo wako
Duh aisee!
nakusalimia kijana.Yani usije ukatongozaKwa mwendo huu mke taoa Tanga..wasambaa weupe pia
Mission impossible![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Utaweza kuwa pet pet?Kwa mwendo huu mke taoa Tanga..wasambaa weupe pia
Mission impossible![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Lahaulaa....aiseeeSikutaka hata kumsikia
Nilimkataia network niliogopa kaswende inayotokea makalioni asikwambie mtu mbaya sana dudu inaharibika
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Ha ha ungejaribu ndo ungekuwa mchezo wakoTena Ilikuwa Lushoto cjui kibaridi ndo anataka nimpashe moto
![]()
![]()
![]()
![]()
.. .........
Hivi kuna watu bado wanalipa ng'ombe 30 kwa ajili tu ya rangi?Hahahahhahaha ulipie cow 30 kwa mke mmoja??? Poor resource allocation....this is unfair and exploitation