Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,226
- 39,940
Leo mbona mapema???Magazeti yanafuata sasa

Leo mbona mapema???Magazeti yanafuata sasa

Duuh! Kwel kuacha ngada ni ngumuKachanganyikiwa(CHIZI),
Sababu ya kula nganda
Usishangae ht kitaani ksenu wapo
............
Kila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maishaUnga hapo anasaidiwa na polisi lakini anasema anatekwa.wauza unga wabaya Sana nawachukia kutoka moyoni.
Niko na mayine moya hakunaga tenaUmesalimika?

Ila dada naona anaelekea kuwa mwehu kabisaKila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha
Y.O.L.O
................
Unga sio kitu ya kujaribu kabisa.. bora nishindie ugoro tuUnga hapo anasaidiwa na polisi lakini anasema anatekwa.wauza unga wabaya Sana nawachukia kutoka moyoni.
Ni kweli lakini still sitawapenda wauza ungaKila mtu atakufa na ujinga wake na pia kuzikwa kwenye kaburi la peke yake......Tuwe na nidhamu ya maisha
Y.O.L.O
................
Nimeamka mapema ili nikamilishe mishe mapema kwasababu leo ni furahi dayLeo mbona mapema???![]()

Malencontreusement tuu mkuuNiambie Mtumishi
Utambulisho muhimu cuzzoKwani tumeanza lini kuwa couple??![]()
![]()
![]()
AtajijuDuuh! Kwel kuacha ngada ni ngumu
Kabisa mkuu. Najaribu kuimagine mama yake anajisikiaje? Hakika wazazi tunaumia Sana.Unga sio kitu ya kujaribu kabisa.. bora nishindie ugoro tu

Ni shida kubwaNadhani mtambo wa TCRA nao ni feki maana simu bado zinapetanaipenda Tanzania yangu. Utasikia bunge lijalo wanajadili mtambo wa TCRA
![]()
Anatia huruma sanaKachanganyikiwa(CHIZI),
Sababu ya kula nganda
Usishangae ht kitaani ksenu wapo
............
AtajijuIla dada naona anaelekea kuwa mwehu kabisa
Pamoja sana fake pastorDadake natambua uwepo wako Jimena
Cuzoo na mimi nashangaa maana sielewi elewi hii couple imeanza liniUtambulisho muhimu cuzzo
Najua ng'ombe anayerusha mateke ana maziwa matamuu