Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
DuuuhHebu subiri kwanza, unamdalalia nani?
DuuuhHebu subiri kwanza, unamdalalia nani?
Nyie nyie mmejua kunishtua moyo leo. Nakusalimu pia LeeNakusalimia
Nyoooo; ukomeeeMoyo umeenda paaa![]()
Indi nkafu tukutufya Jo malafyale
Weeeh! Mbona mie hamjawahi kunipokeanacheka sana halafu nipo kwa daladala nitaonekana chizi ujue eti auntie makii unavyokuja si ndio tunavyokupokea


Wanachafua brandkweli kabisa auntie watu wanatuonea wivu na wereva zetu


Sijui na mimi....Sema ulipo wewe...




Ikizama?eenh unakuja kwa meli kutoka china
Hiyo wapole umeiweka bahati mbaya au?Hivi mama mchungaji kwani sisi wachambaji jamani mbona sisi wapole sana ila unavyokuja ndio unavyopokelewa.![]()
Imagine kipindi kile nilikuwa msomaji zaidi kuliko sasa....
Nilikuwa nikipita comment inayonifurahisha nalike tu...




Macho kama maembe
Yule hatuwezi kumpea huyu Shem...
Yule anafaa apate kiboko yake![]()



Tuko salama kabisa, karibu.Salam kabisa mzee mwenzangu, hofu ilikiwa juu yenu tu.