Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,002
- 150,528
Wala sio kesiii shem aunt...tuliaa leo waliniulizia locationSi ndio!! Ujue hii kesi ni kubwa sana!!!!
Wala sio kesiii shem aunt...tuliaa leo waliniulizia locationSi ndio!! Ujue hii kesi ni kubwa sana!!!!
Yaani kuna siku nilitaka nifanye muujiza huo kisa nafuatilia umbea. Yangenikuta makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app





Embe gani mzee mwenzangu!? Dodo, tanga, bolibo au embe sindano?



embe bolibo.Toa location basi mtu mwenye vyake.Maharage .magimbi .mihogo. Muda huu tunaita futari
karibu wana makapuku
SitakiiiiiiiWala sio kesiii shem aunt...tuliaa leo waliniulizia location


Mwenyewe nimecheka..
Unavyokuja ndivyo tunavyokupokea...



Ewaaah auntie ukija kilokole tunakupokea kilokole
Mmmmmh!!! Auntie!!!


Kwamba auntie unanibishia mwenye simu yangu si ndio
Sitakiiiiiii![]()
Yaani kwamba nimewazidi hao makonkodi?![]()



hapana Anne we umewazidi wanakufatia fatia kidogo
Yaani huyo ni HS ndio anajua kukaanga watuu
Mimi nishanawa kitambo.




ila kama mnalingana hiviii
Sanaaa tu maka akee naagiza tuShunie akee ushawahi agiza kikuu![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sanaaa tu maka akee naagiza tu





una nini lakini mama mchungaji kwamba mnatuogopa hivisheikh karibu ununioToa location basi mtu mwenye vyake.