Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuhusu kikuu umenikumbusha jana ila Lee kuan kitu alikuwa anataka na hiko kitu kipo kikuu tu namwambia nikuagizie ooh hapana kama kipo kikuu yaani anahisi vitu vya kikuu vya uwongo haviendani na picha yaani nimefanya kazi kumuelekeza naona imeshindikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe kikuu kwa kweli....Basi tu.
Kitu walinifanya naogopa hata kukuonesha kwa watu[emoji23]
 
Back
Top Bottom