Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Hahhaha auntie kule kuna vitu na vitu vya kuagiza vinafika vilevile kama vilivyo
Mwenyewe kikuu kwa kweli....Basi tu.
Kitu walinifanya naogopa hata kukuonesha kwa watu![]()
Hahhaha auntie kule kuna vitu na vitu vya kuagiza vinafika vilevile kama vilivyo
Mwenyewe kikuu kwa kweli....Basi tu.
Kitu walinifanya naogopa hata kukuonesha kwa watu![]()
Inabidi uagize chakula maana ukisema upike unapitwa, unakuta uzi ushafutwa
Tungekuwa busy na kazi kama umbea walah tungekuwa na ghorofa sasa![]()




Kasema hapajui we ndio unapajuaAkikujibu niite Auntie![]()
Sanaaa aisee ni zaidi ya mshkaji Mungu azidi kutuwekea tuYaaaani!!!
Kwanza atacheka, halafu ana yale maswali yake ya kichochezi
Ngoja niishie hapa...Itoshe kusema ni mtu poa sana..
Nitakuwa natetema huku zaidi ya Mayele, hata energy drink haitonifaa. It shall never be my portion![]()

Mayele anaweza kusubiri kwa huo mtetemo..Naaaam Shem lake...Makiiiiiiii shem square
Acha tu...
Mwenyewe kuna huyo mtu siku zote najua simu yake macho 3...
Sasa siku hiyo kaenda Kitchen..sink likikuwa alipitishi maji likawa limeziba..maji yamejazana kibao.. alikuwa ananawa mikono ile amefika akaibana simu na midomo( lips) kama wengi tunavyofanya...
Ile anaanza kunawa tu simu ikadumbukia...
Kuitoa watu wakaanza kumshauri, Wengine waliokuwa wanajua ni Macho 3 halisi wanamwambia hiyo ina water proof haiwezi kuingiza maji
Ile kuivua cover sasa
Badala ya watu kumhurumia kila mtu aliangua kicheko..Mimi nilicheka hadi machozi![]()





Eeeeeh!!! Mbona hilo hujaniambia Auntie?
Ndiyo nasikia...




ndii usikie auntie aliniambia kuwa picha zinasambaa alijua nitaogopa nikamjibu tu ndio vizuri acha nitrendAunt Espy kikuu wananiuliza location ya kupokea mzigo wetu




Karibu tena na kuna aunt yetu humu unaweza kuwa faraja yake![]()






Hahahha kiboko yake atakuwa nani sasa
Yule hatuwezi kumpea huyu Shem...
Yule anafaa apate kiboko yake![]()
nacheka sana halafu nipo kwa daladala nitaonekana chizi ujue eti auntie makii unavyokuja si ndio tunavyokupokea






Mmmmmh!!! Auntie!!!kweli kabisa auntie watu wanatuonea wivu na wereva zetu
Moyo umeenda paaaNimekuta mentions zenu, nusu nitupe simu. Nikajua nasutwa leo![]()





Mweee


Kabisa Auntie..ila ni kuwa makini sanaHahhaha auntie kule kuna vitu na vitu vya kuagiza vinafika vilevile kama vilivyo
