Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Yaaaani!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vile Melo hanaga hiyana
Wivu sina, ila najua litakalompata.Acha wivu binti.
Weweeeee!!![emoji28]Kumbe si maki alimuita[emoji2369]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bahati nzuri melo mwenyewe anapenda ubuyu, atauacha acha hadi ufikishe page elfu mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazini kuna mtu anayo ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamanii me siwezi kabisa acha tu nitumie wereva yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe!!!Sasa mbona mimi huwa hunihadithii? Usijali sitoscreen shot[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia, Italipwa hapa hapa[emoji2]Nilipe huko[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana auntie hata ukiscreenshot sijali wala nini kuna mtu aliniambi shunie picha zako zinasambaa nikamjibu ndio vizuri cha nitrend tu kwa watu alichoka
[emoji28][emoji28][emoji28]Weeeh!! Unanikania ndugu yangu hivi hivi[emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana halafu nipo kwa daladala nitaonekana chizi ujue eti auntie makii unavyokuja si ndio tunavyokupokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani huwa mnachamba watu? Haiwezekani dota wangu awaogope hivi!!
Wazima mndali...Wazima wote humu ndani?
Hawajambo kaka yangu sijui upo ulipoNjema hawajambo hapo ulipo dada
[emoji28][emoji28][emoji28]Bahati yako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimewasahau majina.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa auntie watu wanatuonea wivu na wereva zetuHakuna simu bora hapa duniani kama tekno auntie, ila ni wivu tu wa watu kutuchafulia simu zetu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh yeeeh!! Mtoto mlito mlito[emoji6][emoji6]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli swala la picha sio habari kabisa yaani halishtui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo huwa sio habari tena siku hizi mbona!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ukiiwasha inaandika tekino[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sijui nacheka niniMmmmh we mgeni ili nimwambie shunie dadangu ajipatie wifiii