Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Na wewe mkuu mbona huelewekiiii umemuulizaa kajaa unaanzaa kuuma menooo

Na wewe mkuu mbona huelewekiiii umemuulizaa kajaa unaanzaa kuuma menooo

Ngojaaa akuzabeee makofiii make cha ukorofiiii namjuaaaHahahaha, huwezi kujua yote Mkuu
...basi kasema ananipunguzia nikilipa leo, anataka elfu 20 tu, yaani ana roho nzuri sana ila anaitaka sasa hivi, namba ya mpesa msitumie ambayo iko kwenye fomu, anawatumia muda si mrefu
hupati binamu mpaka jumatatuAtazitoa wapi hela we mpe tuu
Hahahaha, haina tatizo, halafu nilivyo mpole na pia sio muongeaji mzuri ,shangazi yenu Shunie sina tatizo naeNgojaaa akuzabeee makofiii make cha ukorofiiii namjuaaa
Asante,,pole piaNjema pole na majukumu kaka ake
Ni njema umeingiza hela ngapi leoNzuri baba mchungaji za ww
.....binamu niliambiwa na mganga kwa kuwa natarajia kupata hela za mkupuo basi nimtafute Wema ili azibariki kabla sijaanza kuzitumia na baby Mary wangu.
Wala simtafuti kwa nia mbaya, nataka tu niwe kama Watanzania wengine wenye bahati maana Jokate ndo hivyo ndo kumpata labda nitangaze kujitolea kubeba zege huko kisarawe sijui mkuranga






Usicheeekeeee huyuu mkuu kanichekeshaa
Hapo sawa dadake
Hahaha binamu,,tunawasiwasi hyo pesa unaweza peleka kwa sepenga...nimejitokeza kwa unyonge, maana ile elfu 41 mia tano hamjanipa na leo ndo ilikuwa siku nzuri kumlipa ticheri, kusubiri jtatu mwalimu anawza kukasirika akaamua kunifundisha kichina
Baba wawili mwambieni binamu yenu no ya wema sepetu nimepata anipe hela nimpe




vp amekupatia hela??binamu yetu bahiliBasiiiii saiziiii yakoo Tumosa achana na cha ukorofiiiii
HahahaLeo angalauu mapemaa sio mida ya binamu ashakunywaa virobaa unamchanganyiziaa habar
Hahahha fursana ,,,binamu yangu hapo ndio napokupa vyeo,,,buku inamtosha...yaani namba tu nitoe hela, kama unataka nikupe japo buku ya fursana basi niletee kabisa getho na umlipe kabisa, uniazimie na simu yako ya kamera ili arushe kwenye IG yake