Kwani umeshajianda kukufwa jamaniii baba mchungajiNdo umeniletea kitanzi?
Marahaba toto mzima wwShikamoo shangazi!
HahahhahahhShangazi hasalimiwi hivyo!! Shangazi huwa anasalimiwa shikamoo!
Kama kawaida yenuHumu mshatekana
Labda uanze kwanzaKwani umeshajianda kukufwa jamaniii baba mchungaji
Ebu uko
Nimekumiss jamani we mzeeNawasalimu wote humu ndani
Hahahhahah acha wivu wewe king mswatiMkuu ndo tuseme unajimilikisha auntie wa wtu ?
Niko hapa jamaniAje atusalimie kidogo basi
Baba wawili mwambieni binamu yenu no ya wema sepetu nimepata anipe hela nimpekwel aisee,hachelew kuulizia namba ya Wema Sepenga
Labda kama ikitokeaa hujadaaabooo...kama kwenye sherehe ukiwa mwisho utakutana na matikitimaji na toothpicks tu, kuku na ndizi vimeisha
No nimepata binamu nipe hela tu nikupe.....binamu niliambiwa na mganga kwa kuwa natarajia kupata hela za mkupuo basi nimtafute Wema ili azibariki kabla sijaanza kuzitumia na baby Mary wangu.
Wala simtafuti kwa nia mbaya, nataka tu niwe kama Watanzania wengine wenye bahati maana Jokate ndo hivyo ndo kumpata labda nitangaze kujitolea kubeba zege huko kisarawe sijui mkuranga