Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Namjua vizuri sana,halafu siku ya kwenda kunywa huwa anavaa lile gauni lake la chuichui!![]()

Namjua vizuri sana,halafu siku ya kwenda kunywa huwa anavaa lile gauni lake la chuichui!![]()

Hela za koroshow sio kwa ajiri ya sepanga shangazi,,Si mmesema we na baba wawili binamu yenu ana mahela ya koroshow
Nami kwa kitanzania ni miongoni mwa mamilioneaKama binamu yangu Obe yy anazidi ya mamilionView attachment 944181
Ngojaaa akuzabeee makofiii make cha ukorofiiii namjuaaa
hasa akinywaAnko leo ni weekend acha kuandika mambo marefu!!
Ushadhulumiwa binamu hao sio watu wazuri...hela ninazo, sema sijalipwa hadi uhakiki umalizike, kwa hiyo wale wakulima ambao wanalima bila kuwa na cheti cha fomu foo watasumbuka sana, mimi ninacho cha mjomba wangu
Asante sanaAsante,,pole pia
Uwe na weekend njema huko uliko.
Vp mzimaHapo sawa dadake
Wala asipewe wkendHahaha binamu,,tunawasiwasi hyo pesa unaweza peleka kwa sepenga
Ndooo hapoo mwishowe unatongozaa madumeee ya instagram ....
Umesahauu katiba yetu ?r
Marrybaby ni mcute aua handsome ?
Kwan yy hajaniona jamaniBasiiiii saiziiii yakoo Tumosa achana na cha ukorofiiiii
Wa afya marybaby umemwonaVp mzima
Honera kaka akeNami kwa kitanzania ni miongoni mwa mamilionea
Asante, una usingizi?Honera kaka ake
Una uhakikaa ?...ni mcute na ni mwanachama wa CUF ya Lipumba
Binamu kwema?
AnakuogopaaaKwan yy hajaniona jamani