Makapuku Forum

Makapuku Forum

...wewe utasubiri sana maana kwa Jokate ulinibania japo ile clip akitwerk, ukaamua kula mwenyewe, shukuru jiwe alikuwa na majukumu ya kimwili sehemu nyingine.

Vipi nasikia Mwantumu alikufuata ukamdhamini Amber Ltty maana nilimsikia akisema eti usitupe mbachao kwa msala upitao
Hizii njamaa zakoo za kunichafuaa kwa moneytalk na Queen Kan zishindweee
 
.
Screenshot_20181123-201657.jpeg
 
.....binamu niliambiwa na mganga kwa kuwa natarajia kupata hela za mkupuo basi nimtafute Wema ili azibariki kabla sijaanza kuzitumia na baby Mary wangu.

Wala simtafuti kwa nia mbaya, nataka tu niwe kama Watanzania wengine wenye bahati maana Jokate ndo hivyo ndo kumpata labda nitangaze kujitolea kubeba zege huko kisarawe sijui mkuranga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
...nimejitokeza kwa unyonge, maana ile elfu 41 mia tano hamjanipa na leo ndo ilikuwa siku nzuri kumlipa ticheri, kusubiri jtatu mwalimu anawza kukasirika akaamua kunifundisha kichina
Hupati akili zako za wkend nazijua mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom