Nipo live band mie kwani umeshafika
We binamu baki na ubahili wako...yaani namba tu nitoe hela, kama unataka nikupe japo buku ya fursana basi niletee kabisa getho na umlipe kabisa, uniazimie na simu yako ya kamera ili arushe kwenye IG yake
Mimi nakuja kufuata kisusio hapa mkuu!!Ijumaa hii mko wapi makapuku ,mukuje kwa Shayo tugonge vyombo
Si umemsahau
kipya kinyemi
...kama kwenye sherehe ukiwa mwisho utakutana na matikitimaji na toothpicks tu, kuku na ndizi vimeisha




binamu umesahau na chumvi
Asante we dadaHeshima yako
Karibu sanaNiko hapa jamani
Nachoma makapukuWachoma mishikaki?
Tup^ooooAhsante nimewamiss
Atazitoa wapi hela we mpe tuuBaba wawili mwambieni binamu yenu no ya wema sepetu nimepata anipe hela nimpe
Wewe ndiyo mtekaji wa shangazi?!Shangazi yenu Shunie yuko ,msihofu kabisa ,Mama Mchungaji kuwa na Aman



Msalimieni akijaAlikuwepo hapa
WoooooooooooooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiimotooooooo hauzimiiiiiiiiiiiiiiii
uwakeeeeeee motoooooo
washaaaaaa motooooo
hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiii
View attachment 944196
Hapa au mwisho saa sita hapaNitumie location