Makapuku Forum

Makapuku Forum

...ukiondoa hizi milioni nyingi nitakazolipwa za korosho, ninamiliki simu ya Motorola Z inauzwa laki 9 nilinunua usedi. Nimepanga chumba cha uani kina thamani ya milioni 2 maana kina tailizi na kapeti. Ninalipa elfu 15 kwa mwezi maana wenye nyumba walikosa mpangaji
Nina TV sungsing mpya ya mamilioni na hivyo nakubaliana na wewe kuwa mimi ni milionea, ila nikilipwa zile hela za Mo basi nitakuwa bilionea
hatukulipii ada ya tusheni kumbe unazo zote hzo
 
...kampeni ya kijinga kabisa hii, kushikana mikono wakati wa salamu ni jambo linaloashiria amani, urafiki na kutojitenga. Busu la shavuni ukutane na yule demu wa anko kajipiga mafuriko ya lipstick si utatafuta talaka bila kupenda. Mimi ninasalimiana kwa kushikana mikono, kampeni ya kunawa mikono ndo muhimu bakteria tunaishi nao, tunapanda daladala wamejaa kwenye viti, hebu twende zaidi ya kampeni hizi, walete maji salama kwa kila mtu ndo waje na upuuzi huu
Anko leo ni weekend acha kuandika mambo marefu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom