Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Sijui mm piga hesabu kwani tunapangiana kuingia jfKwa hiyo wiki imeisha tayari
Sijui mm piga hesabu kwani tunapangiana kuingia jfKwa hiyo wiki imeisha tayari
Kama wewe siku moja ni mwaka 1 bhasi sawa utakuwa ushakuwa kigagula ila kama sio kweli bhasiii wachaaa nikumwagie sifaaa ...






Ebu ngoja kwanza T unanilipia nitafute nguoTukutane kino December..!
Tulia hivyo hivyoo
Tulia kwanza ipambe moto..Ebu ngoja kwanza T unanilipia nitafute nguo
Tulia kwanza ipambe moto..
Miss you!Naam
Natuma majina yetu ya kiuhalisia ama ID za jf?Hahahah
T bwana ebu lipa bwana ukilipa unatuma msg ya kawaida kwenye hiyo no kuwa hela ni ya flani na flani hakuna atakayekujua
Poleni kwa waliofikwa na hili,poleni watanzania wenzangu

Mara nitokee niseme jamani mimi ndio T wa kapuku....
Watu watakimbia! Mwenyewe nitakimbia aisee..![]()

Nakuona !Mnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi
Shikamooni wote mliopo hewani
Hahaa! Sasa unacheka nini?
Naona ijumaa hii watu mmeshatekana jamani leo nimekuwa mlinzi wa jukwaa

Natuma majina yetu ya kiuhalisia ama ID za jf?
Kwani ni lazima ufukue makaburi jamani endelea ulipokutaMnisamehe nafukua baadhi ya makaburi,sijaingia hapa toka juzi
Shikamooni wote mliopo hewani
Kapuku's ndio twakatiwa umeme
Pouwa pouwa...I'd za jf usitaje tuma majina hata ya uongo kikubwa tu wakupe msg ya confirmation ya kuonyesha ukiwa unaingia

