Makapuku Forum

Makapuku Forum

hadi wewe!?, inabidi tuzipige promo zile tamthilia zetu, watu wazinunue kwa wingi.
Kwani mm nina nn jamani yaani nabanika mpaka nasahau kama kuna jf

Kwakweli inabidi tuzipigie promo tu hakuna namna
 
Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave.
Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc.
Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela.
Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao.
Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless.
Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc.
Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.



Nini kifanyike?
Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela.
Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake
 
.
Screenshot_20180921-100822.jpeg
 
Ni jambo la muhimu kushughulikia miguu yako hasa ikizingatiwa ni mojawapo ya sehemu zilizo wazi sana na zinazooneakana ukiwa nje. Mbinu hizi sahihi zitakuhakikishia miguu yako inapendeza:

·Usafi: Nawa miguu yako angalau mara moja kwa siku ukitumia sabuni na maji yaliyopashwa moto ili kuondoa uchafu, jasho na bakteria. Kisha panguza miguu yako kwa taulo safi kuzuia unyevu ambao ni mazingira mwafaka ya maambukizi kama vile ukuvu.
 
Viatu: Jinsi unavyovalia nguo zinazoafaa hali mbalimbali ya hewa, pia unapovalia viatu hakikisha kuwa unazingatia haya. Wakati wa jua valia malapa ili miguu yako ipate nafasi ya kupumua na kupunguza unyevu mwingi ambao waweza sababisha ukuvu. Hakikisha kuwa umevalia viatu vinavyofunika miguu yako wakati wa mvua na baridi kali.

·Soksi: Badilisha soksi kila wakati ili kukabiliana na harufu mbaya ambayo hasa hutokana na mrundiko wa uchafu unaotoa mazingira mwafaka kwa bakteria kuota.

Ikiwa wewe hutokwa na jasho jingi miguuni basi beba pea moja zaidi ya soksi ya kubadilisha mchana. Pia ili kukabiliana na unyevu mwingi kuwa na mazoea ya kupaka vidole vyako vya miguu poda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom