Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
hapa umenionaje??Wewe ndio umekimbia kabisa
hapa umenionaje??Wewe ndio umekimbia kabisa
sasa je msije mkanisahau bureNajitahidi hivyohivyo naona leo umekumbuka nyumbani
hapa umenionaje??
sasa je msije mkanisahau bure
Nini cha kufanya mtu akipatwa na haya maumivu
– Acha shughuli zote na upumzike
– Kama uko ndani, fungua madirisha ya nyumba ili upate hewa ya kutosha
– Siku zote tembea na vidonge vya nitroglycerin kwaajili ya kuondoa maumivu
– Jaribu kuacha tabia hatarishivkama kunywa pombe kali, kuvuta sigara, kutembea kwa kasi, kula vyakula vya mafuta,chumvi au wanga kwa sana
– Epuka hali ya baridi kali au joto kwa sana
zamu yangu kulinda leoJamani si ndio nimekuona hapa
itabidi unitambulisheNa wengine watakuwa wameshakusahau
Kama wamekusahau nitakutambulishaitabidi unitambulishe
sawa dada shemejiKama wamekusahau nitakutambulisha
basi sawa nipo hapaWouzeeerrr
Bora mana nimelinda peke yangu
sawa dada shemeji
Duuuuuuuh ...asanteeAngina pectoris ni maumivu makali upande wa kushoto wa kifua ambayo hupanda mpaka shingoni, shavuni, mkono wa kishoti hata mpaka mgongoni. Huu sio ugonjwa bali ni dalili ya magonjwa ya mishipa ya moyo.
Mara nyingi maumivu haya huwapata wazee kuanzia miaka 50 na kuendelea wanaosumbuliwa na mafuta kwenye mishipa ya moyo
Angina imegawanyika katika aina kuu tatu
1. Inayotokea mtu akifanya kazi ngumu au akitembea zaidi ya mita 100
2. Maumivu yatokeayo wakati wa kutembea chini ya mita 100 au kufanya kazi kidogo tu au kuoanda ngazi ghorofani
3. Maumivu yatokeayo wakati mtu amekaa na kupumzika tuu.
Maumivu yote haya yanatokana na moyo kuongezeka kazi lakini damu yenye oksijeni haitoshi kwasababu ya mafuta yaliyoganda ndani ya mishipa ya damu
Hahahahahaha na ww lakini bado mrembo kigoriiiiiii