mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Za mchana nzuriKapukuz za asubuhi!
Duh, asante kwa taarifa
Nitakosa tena!? Nilikuwa upande wa yule DJ, kila akisema moja ya bureeeee naamka kufuata mbili
Yaani kuna watu huwa wanaonekana huku kwa Makapuku tu. [emoji23]
Zawadi anapata ni yy tu kusema nimpe kwa njia atoe maelekezo
Nikutumie kwa njia gani
Mtumie tigopesa Shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Mwambie atume namba
Nitumie namba yake
Mke mweee njoo na no upate tigopesa Shunie
Atakupatia mkuu ngoja aje
Khaaa! Sasa dada na wewe unataka nikuhonge, au?! Binamu haongwi bhana...
Mkao wa Kula tafadhal
@Tumosa naomba unitafutie popote alipo mwambie namtafuta sana
Mabadiliko gani ndg
Hata mm kichwa changu chepesi.namuhitaji anifundishe zaidi
Amekuwa muungwana sana kwangu.ni kweli darasa tosha.VP umeona kuna mabadiliko.
Mwalimu wako yupo,kapumzika kuingia jf kama kuna lolote nambie nitamfikishia
@tumosa umempeleka wapi shunie?
Kuna together party...Hivi nimeshalipiwa jf together party au umewalipia wengine
Hivi nimeshalipiwa jf together party au umewalipia wengine