Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nimeshaenda huko naona page 27 ...Elf 30 mtu mmoja hivi si ufungue usome
Afu mimi niko napiga beer huku hata sioni vizuri
Nimeshaenda huko naona page 27 ...Elf 30 mtu mmoja hivi si ufungue usome
Nimeshaenda huko naona page 27 ...
Afu mimi niko napiga beer huku hata sioni vizuri





Nitakutoa haraka sana
Mara nitokee niseme jamani mimi ndio T wa kapuku....
Watu watakimbia! Mwenyewe nitakimbia aisee..![]()
Hahahahaaa! Itakuwa balaaa la mwaka...Nitakutoa haraka sana


Nimeshajua kiingilio..Kwahiyo ndio unaamishaje tena
Unanigeuzia kibao
Kuna no imewekwa pale we tuma tu hata kwa wakala halafu screenshot text ya hela itumie hiyo no text unamwambia hiyo hela ni ya flani na flaniNimeshajua kiingilio..
Hela anatumiwa nani?
Hahahahaaa! Itakuwa balaaa la mwaka...
Nitafungwa mwaka na jf aisee!![]()
Hahahahaha njoo basi tuyajenge
Juu ya uzi..Kuna no imewekwa pale we tuma tu hata kwa wakala halafu screenshot text ya hela itumie hiyo no text unamwambia hiyo hela ni ya flani na flani
Eeenh juu ya uzi ukawii kusema nikukopieJuu ya uzi..
Let me check it..
Ulikuwa wapi wewe!?..Jamani kwahiyo ulitekwa ikawaje eti kwenye mtekano uko
Hahahhah nije wapi sasa pm unasemaga hupati text basi ngoja nije kule
Ulikuwa wapi wewe!?..
Hii ni kwa ajili yako unapokuwa unahisi kukata tamaa ; Siku ambazo unatafuta pa kuficha kichwa chako na kisionekane tena. hii ni kwa ajili yako wakati mashaka yanapofunga mwanga usionekane, wakati unapoona Dunia imekutupa.
Hii ni kwa ajili yako wakati ambapo siku sio nzuri na kila kitu hakiendi vizuri… unaposhindwa, unapozama, unapojikuna kwenye ngozi yako ya kichwa, na hujui kama utaweza kuendelea.
Wakati mwingine maisha yanakuwa magumu kupita kiasi… ni magumu kuliko unavyofikiria. magumu kuliko ulivyotegemea. kuna siku ambazo zinakuweka kitandani. siku za majaribu makubwa.
Huenda unafikiri maisha ni mazito sana; kama vile huwezi kuishi. Unaweza kufikiri Ulimwengu wote umekuelemea mabegani,umekuondolea nguvu, unakusukuma chini pamoja na roho yako. Kila sehemu ya mwili wako una maumivu. huwezi kabisa mahali hapo.
Hakuna kitu sahihi. Hata kama unajua kuwa una masikitiko, hivyo huna kitu, huwezi kuweka kidole chako. huwezi kusema hisia hizo. lakini unajua unajisikiaje.
Unaweza kusikia kama kukata tamaa. unaweza kusikia huna kitu…Umechoka…imefanyika.lakini lazima usubiri. lazima utafute kitu cha kukusimamisha hata kidogo, na hicho kitu kikuhudumie wakati huo. unaweza kushikilia kwa muda mrefu uwezavyo. usiachie.
Inaweza kuwa kitu chako kikubwa cha kufanya ni kupumua na kuvuta hewa, ili uweze kutoka kitandani. Na unafahamu ni kitu gani? Huenda hio ni sawa. endelea kupumua , ndani na nje, vuta hewa ndani , shikilia kwa muda halafu pumua nje. utajisikia vizuri.
Huenda unafikiri kuwa umevunjika sana na huwezi kutengamaa; kwamba maumivu hayo ndani ya moyo wako yamekaa. kwamba akili yako imeharibika, na umeathiriwa kabisa. Lakini nakuambia hivi, chukua hilo moyoni na anza kusema mwili wako ni imara. Mwili wako unafahamu jinsi ya kuponya.
Hutaweza kuwa na hali ya kuvunjika moja kwa moja. kila siku unaweza kuanza tena, na kila siku utakuwa na badiliko la kuweka mambo pamoja. inaweza kuchukua muda mrefu na inaweza kuhitaji nguvu,lakini hujavunjika. umepitia kwenye mlima mrefu kidogo. hakuna kitu kinachoweza kudumu katika Ulimwengu huu. hakuna kitu kinachoweza kubaki kile kile bila ya kubadilika . hata nyakati mbaya zinapita, hisia mbaya zinapita. kwa hio nakusihi kaa nazo nakuhakikishia ipo nafasi mpya. utajisikia vizuri hivi karibuni. na utakapoanza kupona tena , utaona sehemu zako zilizovunjika zinapona na kuwa na nguvu. masikitiko sio dalili ya udhaifu.
Ruhusu nafasi ya kupumua, na uelewe kuwa yale maisha yalikuwa ni maisha kama mengine. ni sawa kukosea. ni sawa kushuka chini. ni sawa kujisikia vibaya …hata zaidi , mbaya zaidi ,nafahamu hivi sasa inaoneka una maumivu na hayaishi, lakini huenda huu ni mwanzo wa kitu tofauti. ni sawa kuanguka wakati mwingine, kwa sababu hata wakati unafanya , hutakaa hapo kwa muda mrefu.
Hauhitaji kukataa hisia zako au kuzisukumia mbali kwa maumivu. acha maumivu yakupate, ili huenda unaweza kuelewa kwamba zilikuwa ni wageni ,hazikuja kukaa.
Badala yake, Fahamu kwamba kuhisi kwako vibaya sio sababu ya kupunguza maumivu.
Lakini pia tambua kwamba akili yako ina njia ya kukunja ukweli; akili yako ina njia ya kukuongoza kuamini kwamba kukosa usalama kwako na woga unapata nguvu.. Usisikilize sauti hio. tambua kwamba akili yako inadanganya, na kwa kufanya hivyo kuwa makini unapochagua ni mawazo gani yapo sahihi ambayo unaweza kuamini.
Kama utakubali mahali ulipo sasa katika maisha yako. na kukubali kuwa baadae mambo yatakuwa mazuri, ni bora kuliko kuogopa. utaanza kuona kwamba hata kama uko gizani mwanga lazima utakuja kwako. hata kama unahisi kupotea na kuchanganyikiwa au kama ulimwengu umezidi magumu. kaa na hisia zako , na chukulia kwa taratibu kila jambo na kwa urahisi.
Tafuta kitu kidogo sana ambacho kinakufanya utabasamu, na sogea mahali ulipo. hatua ndogo. Kama utaanza njia yako ndogo, kila kitu kitaanza kurudi sehemu yake. Omba msaada kama unahitaji, na jifunze kwa wengine kama utahitaji kufanya hivyo. nafasi zipo. Watu wanakutaka uwe na furaha kwa sababu wanakupenda . kwa hio kuwa wazi , uwe mwanga kwa wengine, wafanye wengine waishi wakati unapojisikia uko chini.
Pumua ndani na nje. upo hapa, una mambo mengi mazuri kichwani mwako. hisia nzuri moyoni mwako– unatakiwa tu kutazama ndani zaidi kushukuru siku ya leo. jaribu kutosahau vitu vyote vizuri ndani yako.
Hata kama umeumia, Bado ni wewe. Na utakapokuwa tayari kutafuta vizuri vyote, vitakuwa vinakusubiri.
Usisahau kwamba hata kama Ulimwengu umegeuka upande mwingine bado unao uwezo wa kujiokoa . una uwezo wa kutengeneza daraja juu ya bahari, maji yasiofahamika. unaweza kupita kati ya giza na kukutana na mwanga tena. unaweza kusonga mbele. Mambo yatakuwa mazuri kwa muda wake.
Kwa hio jinsi unavyosonga mbele , Natumaini utakutana na baraka zako kila hatua . inaweza kuchukua muda mrefu. lakini ipo siku utaona mwanga tena.
Unacho kitu kikubwa ambacho hakuna mtu wa kukifanya katika ulimwengu huu, una miujiza yako mwenyewe, utambulisho wako, ukweli wako, na njia yako ya upekee ya kusambaza upendo na huruma kwa watu.
Wewe ni mwezi, jua, Mwanga, giza, nyota, mlima, wewe ni ulimwengu wote, unatawala mwelekeo wote. chini na juu. wewe ni wa kweli.
Vuta pumzi ndani na kutoa nje. Utakuwa vizuri.
Numbisa mama vipi uko poa lakini mm nina ombi huwezi kukatisha mpenzi yaani ukatuma kama tatu au mbili yaani kama hiyo post uigwe napenda kusoma mm lakini post ikiwa ndefu sana nakuaje mvivu mm samahani mpenzi