Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kula kulana pale kati patamu[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Angelikuwa shunie anakwambiew unaendaaa kuliwa sema anatamkaga kukulana ...shunie huyu jaman
 
Muziki: Taja Majina Unakosa Nini

...hakuna mgeni humu, tuko ni marafiki ambao hatujakutana (no strangers here only friends you haven't yet met) yaani kutiana machoni kuonana mwili kwa mwili. Nakusalimia sana wewe Kapuku ambaye bila hiyana unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri sana kuwepo. Ninaweza kutaja majina hadi nikachoka lakini labda itokee tu sijalitaja jina lako, unakosa nini!

Hebu burudika kwanza

 
Back
Top Bottom