Makapuku Forum

Makapuku Forum

waaow tena korosho huku niliko wahitaji ni wengi etii aisee ntakuwaje tajiri mimi namba natuma sasa hivi 96%ya faida ni yangu nakosaje kukugea namba

...basi hapo safi, utakuwa umenisaidia sana. Aunt yangu Shunie nilitaka nimtumie korosha kwa bodaboda akasema hana pa kuziweka.
 
Mambo Madogo 10 Ni Muhimu Kukumbuka Ukiwa Katika Safari Ya Maisha Yako.

1.Wakati mwingine ni sawa kuishi katika mazingira ambayo huyafurahii. kama utajiuliza , hii kweli itakuwa ndio hali ya maisha yangu yote? Badilisha hayo mazingira. Wewe ni mtu pekee wa kubadilika kwenye maisha yako.

2.Ni lazima ubadilishe mambo yako, inaweza kuwa ni Nywele zako, Nguo, makeup, mazingira ya nyumba yako, tabia yako, mawazo yako, matendo yako n.k. hata kama kila mtu atakuona kama umepoteza mwelekeo, watakuelewa baadae.

3.Ni sawa kabisa kutarajia ubora kutoka kwa watu wa karibu yako. kwa kuwa unawapa ya kwako.

4.Ni vizuri kama utasafiri. utapata mawazo mapya, katika safari utakua kiakili na kiroho.

5.Ni sawa kama utaachana na watu wenye sumu ya maneno. wakati mwingine kuwa kimya ni usalama.

6.Ni sawa kama utaondoka katika mazingira ya usalama na kuanza upya. mazingira mazuri yanakudhoofisha.

7.Ni vizuri kujiendeleza na Elimu zaidi. Kwa kuwa utapata maarifa na ufahamu. Nani ataweza kukusaidia kama hutawekeza kwa ajili yako?

8.Ni sawa kama utahitaji msaada . kama urahisi unavyoonekana , Hiki ni kitu kigumu kufanya, lakini bado utaweza kupata matokeo mazuri.

9.Ni sawa kukosea. Hasa unapokubali kuwa hujui kila kitu,Inaruhusu akili yako kufunguka.Maisha yako yatabadilika.

10.Ni sawa kukubali uwazi na kukosa usalama wakati wa mabadiliko . Ni kitu kinachoogopesha.
 
FB_IMG_1537340024895.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom